Kitengger

Kitengger ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watengger kwenye kisiwa cha Java. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitengger imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitengger iko katika kundi la Kijava.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search